Watapigwa hapo hapo Isamuhyo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 May 2026
Watapigwa hapo hapo Isamuhyo

Yanga iko tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao umepangwa kupigwa leo Jumapili, May 03 katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.

Inyeshe mvua, liwake jua, watapigwa hapo hapo Isamuhyo, ili mradi tu TFF na TPLB wameidhinisha mchezo huo kupigwa hapo.

Jana Yanga ilitoa angalizo tu juu ya hali ya 'pitch' kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam.

Hii ni mechi kubwa ambayo sio tu inatambulisha soka la Tanzania lakini pia inafuatiliwa karibu kila kona ya dunia.

Wapo waliotafsiri kuwa walichofanya Yanga jana ni uoga, saa 12 jioni sio mbali, watafahamu kama Yanga wanaogopa derby au la..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’