Mkenya apewa fainali Muungano Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Apr 2026
Mkenya apewa fainali Muungano Cup

Mwamuzi kutoka Kenya Dickens Mimisa Nyagrowa ameteuliwa kuchezesha mchezo wa fainali kombe la Muungano kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa leo katika uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar.

Nygrowa atasaidiwa na waamuzi wasaidizi Ally Mbwana (Zanzibar) na Yusuph Shombe (Zanzibar)huku mwamuzi wa akiba akiwa Ishaka Mwalile kutoka Tanzania Bara.

Nygrowa mwenye umri wa miaka 33 ni mwamuzi wa Kimataifa mwenye beji ya FIFA ambaye amewahi kuchezesha michuano ya Kimataifa kama Afcon na CHAN.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’