Kwenye michuano ya SportPesa inayoendelea nchini Kenya huenda timu kutoka Tanzania 'hasa wazawa' ndio zilizokuwa na wachezaji wenye miili midogo zaidi.
Miaka ya nyuma hali ilikuwa tofauti Tanzania. Miili ya wachezaji wetu ilikuwa inawiana kwa kiasi kikubwa na wenzetu wa Afrika Mashariki.
Lakini sasa hali ni tofauti. Tatizo ni nini? Je ni vyakula au mazoezi?
Ukikiangalia kikosi cha Gor Mahia kina wachezaji wenye miili 'majumba' na wenye nguvu.
Wataalamu mtusaidie nini kinakumba kizazi cha wachezaji wa Kitanzania miili yao kupungua kadiri miaka inavosonga mbele?

ADVERTISE HERE