Matheo Anthony ndiye mchezaji pekee kutoka Tanzania aliyefunga bao huko Kenya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jun 2018
Matheo Anthony ndiye mchezaji pekee kutoka Tanzania aliyefunga bao huko Kenya
Hadi timu zinakwenda hatua ya fainali ya mashindano ya SportPesa, mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony ndiye mchezaji pekee kutoka Tanzania aliyefunga bao ndani ya dakika 90 za mchezo katika michuano hiyo.

Matheo ambaye kikosi chake kilitolewa hatua ya robo fainali na Kakamega, alifunga bao hilo kwa njia ya faulo iliyokwenda moja moja wakati timu yake ilipofungwa mabao 3-1.

Simba ambayo imeingia fainali baada ya kuifunga Kariobang Sharks kwa penalti pia iliichapa Kakamega Homeboyz hatua nusu fainali kwa penalti, haijafunga bao katika dakika tisini.

Iko hivyo pia kwa Singida ambayo imepoteza mchezo dhidi ya Gor Mahia leo kwa kufungwa mabao 2-0.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
1h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
10h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’