Jambo limeshafika kwenye vyombo vya kisheria - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Apr 2026
Jambo limeshafika kwenye vyombo vya kisheria - Kamwe

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amethibitisha kuwa klabu tayari imewasilisha madai dhidi ya wachambuzi wanaoichafua taasisi hiyo.

Kamwe amesema kwa sasa ni kusubiri sheria ichukue mkondo wake. Amesema suala la kukomboa mpira wa Tanzania haliko upande wa wale wanaotuhumu tu bila ushahidi, bali hata wale wanaotaka tuhuma hizo zithibitishwe nao wana lengo hilo hilo.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Kamwe ameandika ujumbe huu;

"Maandiko, Nasaha na Ushauri .. nafikiri havina nafasi kwa sasa. Jambo Limeshafika kwenye Vyombo vya Kisheria hivyo ni vyema tukaacha Sheria ichukue nafasi yake.

Jambo likishawekwa kisheria, sote tunajua ni wapi pakuisubiri haki husika. Sisi Yanga Tunasubiri, Naamini na wachambuzi /Waandishi wa Habari na wadau pia wa Football wanasubiri.

Ukombozi wa Mpira wetu uko kote kote ndugu zangu, Hata hii ya kukomesha Tabia ya mtu kutoa tuhuma kwa Taasisi/Mtu bila ushahidi wa jambo husika ni jambo linaloweza kuulinda kabisa mpira wetu na mijadala ya kipuuzi.

Msichambue Ukombozi mmoja tu."

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’