Kikosi cha Yanga kimewasili visiwani Zanzibar mapema leo tayari kushiriki michuano ya kombe la Muungano inayotarajiwa kutimua vumbi kuanzia kesho Jumanne, April 21 katika uwanja wa New Amaan Complex.
Wananchi wataanza kampeni ya kulisaka taji hilo kwa msimu wa pili mfululizo dhidi ya Muembe Makumbi.
Yanga imewasili Zanzibar ikiwa na kikosi chake kamili, Kocha Pedro Goncalves anataka kushinda kila taji..!





ADVERTISE HERE