Nyika apania kumbakisha Chirwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2018
Nyika apania kumbakisha Chirwa Yanga
Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga Hussein Nyika amesema wamekuwa kwenye mazungumzo na mshambuliaji raia wa Zambia Obrey Chirwa juu ya kuhuisha Mkataba wake.

Nyika amesema mazungumzo hayo yamefikia pazuri na huenda mshambuliaji huyo akasaini mkataba wa kuendelea kuitumikia Yanga.

Mkataba wa Chirwa unamalizika mwishoni mwa mwezi huu.

Chirwa amekuwa akihusishwa na vilabu vya Azam FC na Simba huku mwenyewe akibainisha kuwa na ofa nyingine kutoka nje ya nchi.

Katika hatua nyingine, Nyika amesema zoezi la usajili linaendelea kwa umakini mkubwa na hivi karibuni watatambulisha wachezaji wapya.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’