Miamba nane iliyotinga robo fainali kombe la CRDB

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Apr 2026
Miamba nane iliyotinga robo fainali kombe la CRDB

Mechi za hatua ya 16 bora kombe la CRDB zilikamilika jana ambapo timu nane zilizofanikiwa kutinga robo fainali zilifahamika.

Mabingwa watetezi wa michuano hiyo Yanga wao walikata mapema tiketi ya robo fainali juzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TMA Stars.

Timu zote nane zilizotinga robo fainali ni za ligi kuu ya NBC ambazo pamoja na Yanga, nyingine ni Azam Fc, Singida BS na Simba.

Nyingine ni TRA United, Coastal Union, Mashujaa Fc na JKT Tanzania.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’