Jeanine amebeba matumaini ya Yanga Princess ubingwa WPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Apr 2026
Jeanine amebeba matumaini ya Yanga Princess ubingwa WPL

Msimu huu Yanga Princess imepania kumaliza ukame wa mataji, wakijitosa mazima kuwania taji la ligi kuu ya Wanawake.

Tangu Yanga Princess ilipoanza kushiriki ligi kuu ya Wanawake (WPL), haijawahi kubeba ubingwa lakini wakati huu kinadada hao wanayo sababu ya kuamini msimu huu itawezekana.

Ikiwa imecheza mechi 12, Yanga Princess imeshinda mechi 11 na kupoteza mechi moja tu dhidi ya watani zao Simba Queens.

Nyota kutoka Rwanda Jeanine Mukandayisenga ndiye anayeongoza mapambano ya Yanga Princess kuwania ubingwa.

Jeanine ndiye kinara wa mabao WPL akiweka kambani mabao 18 katika mechi 12 alizocheza.

Katika mabao hayo, hat-trik ni nne kwa maana amefunga zaidi mabao 12 katika mechi 4!

Leo anatarajiwa kuiongoza Yanga Princess katika mchezo dhidi ya Tausi Fc uwanja wa Azam Complex.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’