Stars Boy ameanza kukusanya tuzo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Apr 2026
Stars Boy ameanza kukusanya tuzo

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Allan Okello 'Star Boy' jana alin'gara katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons Wananchi wakiibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Okello aliondoka na tuzo ya nyota wa mchezo baada ya dakika 90 za mchezo huo ambazo ziliwashuhudia Wananchi wakiongeza gap la pointi hadi kufikia alama 7 juu ya msimamo.

Katika mchezo huo, Okello alifunga bao lake la pili kwenye ligi msimu huu huku pia akitoa pasi ya bao lililofungwa na Mudathir Yahya.

Okello alianza maisha yake na Yanga taratibu lakini sasa unaweza kusema ameanza kudhihirisha kwa nini Rais wa Yanga Injinia Hersi Said alifunga safari Uganda kwenda kumsajili.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’