Kesho Jumamosi April 04 kwenye uwanja wa KMC Complex, Wananchi wana jambo lao katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons.
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo huku Meneja wa Habari na Mawasiliano wa mabingwa hao wa nchi Ali Kamwe akiwaalika Wananchi wajitokeze kwa wingi kushuhudia burudani.

ADVERTISE HERE