Makundi Kagame Cup yakosolewa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jun 2018
Makundi Kagame Cup yakosolewa
Mjadala mkali umeibuka kutoka kwa wadau wa soka nchini baada ya Shirikisho la soka Afrika Mashariki, CECAFA wakishirikiana na TFF kuweka hadharani ratiba ya michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati, itayoanza Juni 28 2018 jijini Dar es salaam.



Wengi wamekosoa upangaji wa makundi ya michuano hiyo itakayoshirikisha timu 12, huku wenyeji Tanzania Bara wakiwa na timu tatu.

Wakati vilabu vya Yanga na Simba vikipangwa pamoja kundi C, kundi B halina timu mwenyeji.

Kama wanavyofiria wengi, huenda waandaaji wa mashindano hayo wamehakikisha Yanga na Simba zinakutana ili kuongeza mapato.

Kwani iwapo timu hizo zenye mashabiki wengi zaidi nchini zingepangwa makundi tofauti, zinaweza zisikutane kama moja au zote zitashindwa kufuzu hatua zinazofuata.

Lakini kwa jinsi makundi hayo yalivyopangwa, Simba na Yanga zinaweza kukutana hadi mara mbili kama zote zitafanikiwa kutinga nusu fainali au fainali.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’