Ni Yanga na Azam Fc pekee zenye 'unbeaten'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2026
Ni Yanga na Azam Fc pekee zenye 'unbeaten'

Ligi Kuu ya NBC imesimama kupisha kalenda ya mechi za FIFA ambazo zitafikia tamat mwishoni mwa wiki hii.

Ligi inatarajiwa kurejea mwanzoni mwa mwezi April, mabingwa watetezi Yanga wakitarajiwa kushuka dimbani April 04 kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo utakaopigwa uwanja wa KMC Complex.

Kuelekea mechi za kuhitimisha duru ya pili, Yanga na Azam Fc ndio klabu pekee ambazo hazijapoteza mchezo mpaka sasa, iwe nyumbani au ugenini.

Licha ya kuteleza kwenye mechi tatu za mwisho kabla ya kwenda mapumziko, Wananchi bado wanaendelea kutamba pale kileleni huku wakiendeleza rekodi ya kutopoteza mchezo kwa muda mrefu.

Yanga sasa imecheza mechi 36 za ligi mfululizo bila ya kupoteza. Ni wazi rekodi hiyo inaweza kuendelea kwa muda mrefu zaidi kwani baada ya kukamilika kwa kalenda ya FIFA, Wananchi wameahidi kurejea wakiwa imara zaidi kuhakikisha wanatetea taji la ligi kuu kwa msimu wa tano mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’