Hii ni fursa kwa wenye Academy

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Mar 2026
Hii ni fursa kwa wenye Academy

Yanga Soccer School kwa kushirikiana na EMWANI CAFE leo wametangaza mashindano maalum ya Vijana wenye vipaji vya soka chini ya miaka 18 yatakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 28 Machi 2026 kwenye kituo cha TFF Kigamboni.

Vijana 10 bora watapewa nafasi ya kujiunga na Yanga Soccer School chini ya EMWANI.

Zawadi kwa washindi:

  • Mshindi wa kwanza: Kombe + TSH 3,000,000
  • Mshindi wa pili: TSH 1,000,000
  • Timu 2 zitakazofika nusu fainali: TSH 500,000 kila moja

Jinsi ya kujisajili:

  • Pata fomu Makao Makuu, Jangwani, Dar Es Salaam au tuma maombi kupitia: Info@yangasc.africa
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’