Dube aitwa timu ya Taifa Zimbabwe kushiriki mashindano maalum

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Mar 2026
Dube aitwa timu ya Taifa Zimbabwe kushiriki mashindano maalum

Mshambuliaji wa Yanga Prince Dube, amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Zimbabwe kwa ajili ya mashindano mafupi ya timu nne za taifa.

Mashindano hayo yatafanyika kuanzia Machi 23–31 nchini Botswana. Mataifa yatakazoshiriki mashindano hayo ni wenyeji Botswana, Zambia, Malawi na Zimbabwe.

Dube amekuwa katika kiwango bora wiki za karibuni akiwa pia amejihakikishia nafasi yake kwenye timu ya Taifa.

Alikuwa sehemu ya kikosi kilichoshiriki michuano ya Afcon 2025 nchini Morocco akifanikiwa kufunga bao moja katika michuano hiyo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’