Kikosi cha Yanga kiliondoka jijini Dar es salaam mapema leo wakielekea Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Machi 12, 2026 kwenye uwanja wa Jamhuri kuanzia saa 2:00 usiku.
Prisons watakuwa wenyeji wa mchezo huo, TFF wakithbitisha mtanange mchezo kupigwa uwanja wa Jamhuri.







ADVERTISE HERE