Kuna uwezekano mkubwa mlinzi wa kulia wa Yanga Juma Abdul akaibuka klabu ya Azam FC baada ya mkataba wake wa kuitumikia Yanga kumalizika.
Abdul alikuwa muhimili wa mafanikio ya kikosi cha Yanga kwa misimu mitatu ambayo Yanga ilitwaa mataji ya VPL mfululizo lakini msimu uliomalizika majeruhi yalimfanya apoteze namba yake kwa Hassani Kessy.
Kama Abdul ataondoka itawalazimu mabosi wa Yanga kusajili beki wa kulia atayesaidiana na Kessy.
Dili hiyo ikifanikiwa, Abdul atakuwa mchezaji wa pili kujiunga na Azam FC akitokea Yanga msimu huu baada ya Donald Ngoma

ADVERTISE HERE