Matchday; Yanga vs Polisi Tanzania, CRDB Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2026
Matchday; Yanga vs Polisi Tanzania, CRDB Cup

Burudani kwa Wananchi inarejea jioni ya leo pale kikosi cha Yanga kitakaposhuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Polisi Tanzania katika mchezo wa hatua ya 32 bora kombe la CRDB.

Mabingwa hao watetezi wa michuano hiyo kwa misimu minne mfululizo, watakuwa wakisaka ushindi ili kutinga hatua ya 16 bora.

Mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves leo anatarajiwa kufanya 'rotation' ya kikosi chake akiwapa nafasi wachezaji ambao hawatumiki mara kwa mara katika kikosi cha kwanza.

Ni katika mpango wa kuhakikisha wachezaji wote wanakuwa kwenye hali nzuri ya ushindani katika kipindi hiki ambacho ratiba sio rafiki.

Baada ya mchezo huo Yanga itaelekea mkoani Mbeya ambapo Alhamisi wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons.

Mchezo dhidi ya Polisi Tanzania leo unatarajiwa kupigwa saa 1:15 usiku.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’