Yanga yaondoka Singida, yaacha tabasamu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Mar 2026
Yanga yaondoka Singida, yaacha tabasamu

Baada ya ushindi muhimu wa mabao 3-0 dhidi ya Singida BS hapo jana, kikosi cha Yanga leo kinarejea jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo unaofata.

Jumapili March 08 Yanga inakabiliwa na mchezo wa hatua ya 32 bora kombe la CRDB dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa uwanja wa KMC Complex.

Yanga imeondoka mkoani Singida kuelekea Dodoma ambako itaunganisha na treni ya SGR kurejea Dar es salaam.

Baada ya kumalizana na Polisi Tanzania siku ya Jumapili, Yanga itaondoka Dar kuelekea mkoani Mbeya wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons March 12 ukitarajiwa kupigwa dimba la Sokoine.

Pichani juu ni Rais wa Yanga Injinia Hersi Said  kiwa pamoja na Wanafunzi wa Kituo cha Sabasaba Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu wenye ulemavu baada ya mchezo Singida Black Stars.

Uongozi wa Yanga ulinunua tiketi kwa ajili ya Wanafunzi hao kushuhudia mtanange uliopigwa uwanja wa Airtel 'Mwigulu Complex'.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’