Uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundation leo umetembelea Sabasaba Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu wenye ulemavu Mkoani Singida na kukabidhi mahitaji maalum.
Huu ni muendelezo wa Desturi ya Yanga kurejesha kwa Jamii kuelekea mchezo dhidi ya Singida Black Stars utakaopigwa leo kwenye uwanja wa Airtel.










ADVERTISE HERE