Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Singida kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida Black Stars utakaopigwa siku ya Alhamisi, March 05 kwenye uwanja wa Airtel.
Yanga iliondoka jijni Dar es salaam mapema kwa usafiri wa treni ya SGR hadi mkoani Dodoma ambako waliunganisha kwa basi kuelekea Singida.








ADVERTISE HERE