Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam mapema leo wakitokea Zanzibar ambako jana walikamilisha mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba uliomalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana.
Baada ya kutua Dar, kocha Pedro Goncalves alitoa mapumziko mafupi ambapo huenda Jumanne Yanga ikaondoka Dar kuelekea mkoani Singida tayari kwa mchezo mwingne wa ligi kuu dhidi ya Singida BS.
Alhmisi March 05, Yanga itashuka uwanja wa Airtel kuwakabili wenyeji wao Singida BS katika mchezo mwingine unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali.







ADVERTISE HERE