FT : Yanga 0-0 Simba; Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Mar 2026
FT : Yanga 0-0 Simba; Ligi Kuu

Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Simba uliopigwa dimba la New Amaan Complex, umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana.

Ulikuwa mchezo ambao Yanga itaridhika na alama moja waliyopata kwani Wananchi hawakuwa kwenye ubora uliozoeleka.

Kipindi cha kwanza Simba ilitawala, shukrani kwa mlinda lango Djigui Diarra aliyeokoa michomo miwili ya hatari kabla ya mapumziko.

Yanga ikarejea imara mwanzoni mwa kipindi cha pili Prince Dube na Mudathir Yahya wakikaribia kuifungia Yanga bao.

Hata hivyo kimbinu Yanga haikuonekana kuwa na mipango madhubuti katika kushambulia na pengine kama sio Diarra mambo yangekuwa mabaya siku ya leo.

Ni alama moja muhimu kwa Yanga ambao inawafanya Wananchi waendelee kusalia kileleni mwa msimamo wa ligi wakifikisha alama 29.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’