FT : Namungo Fc 0-1 Yanga, NBC PL, Feb 22

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Feb 2026
FT : Namungo Fc 0-1 Yanga, NBC PL, Feb 22

Yanga imeendeleza ubabe ligi kuu ya NBC ikiichapa Namungo Fc bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Majaliwa, Ruangwa.

Bao la mkwaju wa penati dakika ya 26 lililofungwa na Depu limeihakikishia Yanga alama hizo tatu muhimu ambazo zimewapandisha Wananchi hadi nafasi ya pili.

Yanga walipata mkwaju huo wa penati baada ya Maxi Nzengeli kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la hatari.

Ulikuwa ni mchezo ambao nafasi zilitengenezwa chache, Namungo Fc wakitoa upinzani mkali kwa Wananchi.

Kiungo mshambuliaji Allan Okello alipata nafasi adimu zaidi kwenye kipindi cha pili hata hivyo hakuweza kuzitumia na pengine kufungua akaunti yake ya mabao tangu ajiunge na Yanga.

Ni ushindi muhimu na alama tatu zenye thamani kubwa ugenini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’