Kikosi cha Yanga kimewasili salama Nachingwea wakiwa safarini kuelekea Ruangwa tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Majaliwa.
Yanga iliondoka jijini Dar es salaam mapema leo kwa usafiri wa ndege ya kukodi hadi Nachingwea ambapo wataunganisha kwa basi kuelekea Ruangwa.
Yanga imepata mapokezi makubwa kutoka kwa mashabiki wao Nachingwea.









ADVERTISE HERE