Mechi ya kwanza kwa Casemiro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Feb 2026
Mechi ya kwanza kwa Casemiro

Kiungo Abdulnassir Mohammed 'Casemiro' jana alicheza mechi yake ya kwanza ya mashindano tangu alipojiunga na Yanga msimu huu.

Casemiro alizitumia vyema dakika chache alizopewa na kocha Pedro Goncalves kwenye mchezo huo dhidi ya Cosmopolitan ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 ukipigwa dimba la KMC Complex.

Kinda huyo mwenye umri wa miaka 20 amekuwa sehemu ya kikosi cha Yanga tangu mwanzoni mwa msimu huu na hatimaye ameweza kuandikisha mechi yake ya kwanza.

Casemiro ameahidi kuendelea kupambana katika uwanja wa mazoezi ili kumshawishi mwalimu ampatie nafasi zaidi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’