Al Ahly 'wanogesha' vita ya Yanga, AS FAR kufuzu robo fainali CAFCL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Feb 2026
Al Ahly 'wanogesha' vita ya Yanga, AS FAR kufuzu robo fainali CAFCL

Mashabiki takribani 45,900 wanatarajiwa kushuhudia mechi ya uamuzi ya Kundi B ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAFCL) kati ya Al Ahly na AS FAR. Mchezo huo utachezwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Cairo, Misri, Jumapili, Februari 15, ambapo Al Ahly itakuwa mwenyeji.

Mamlaka za soka za Misri kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) zimetoa kibali cha idadi hiyo ya mashabiki kuhudhuria mchezo huo kwa kuzingatia sababu za kiusalama, kutokana na ukubwa na ushindani wa mechi hiyo.

Licha ya Al Ahly kuhitaji angalau alama moja tu ili kujihakikishia kuongoza kundi B, mtizamo wao kuelekea mchezo huo ni tofauti hasa kutokana na matukio yaiyojitokeza mchezo wa kwanza timu hizo zilipokutana Morocco ambapo Al Ahly walifanyiwa vurugu matukio yaliyopelekea AS FAR kuzuiwa kuingiza mashabiki kwenye michezo dhidi ya JS Kabylie na Yanga.

Ushindi kwa Al Ahly ndio matokeo ambayo Wananchi wanahitaji ili wapate nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali.

Hata hivyo Yanga lazima ishinde mchezo dhidi ya JS Kabylie ili ipate kunufaika na matokeo ya ushindi kwa Al Ahly.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’