Yanga ilivyokamilisha maandalizi tayari kuikabili AS FAR leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Feb 2026
Yanga ilivyokamilisha maandalizi tayari kuikabili AS FAR leo

Kikosi cha Yanga jana usiku kilihitimisha maandalizi yake katika uwanja wa Olympic kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS FAR ambao utapigwa leo katika uwanja huo.

Baada ya wenyeji wao kukamilisha maandalizi yao, Yanga ilipata nafasi ya kujifua katika dimba la Olympic kuanzia saa 4 usiku.

Wananchi leo wana jukumu moja tu, kuzisaka alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga robo fainali.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’