Chikola awaaga mashabiki Yanga, kutua Singida BS

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jan 2026
Chikola awaaga mashabiki Yanga, kutua Singida BS

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Offen Chikola amewaaga mashabiki wa timu hiyo baada ya kuwatumikia Wananchi kwa miezi sita akitokea klabu ya Tabora United (sasa TRA United).

Chikola anatarajiwa kujiunga na Singida Black Stars kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu.

"WANANCHI NAWAKUBALI SANA, MPAKA WAKATI MWINGINE TENA INSH'ALLAH," sehemu ya ujumbe wa Chikola alioandika katika ukurasa wake wa mtandao kijamii.

Yanga imekuwa 'busy' katika dirisha hili kwani licha kuongeza nyota wapya, imewatoa baadhi ya wachezaji kwa mkopo ili kuhakikisha wanapata nafasi ya kucheza.

Chikola, Denis Nkane, Ecua Celestin ni miongoni mwa wachezaji ambao tayari wametolewa kwa mkopo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’