Kesho Jumanne, Januari 27 Wananchi wanaendelea na mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC pale watakaposhuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Dodoma Jiji.
Mchezo huo wa kiporo, umepangwa kupigwa saa 1 usiku, Yanga ikiweka wazi viingilio.
Mzunguuko ni Tsh 10,000/- na VIP ni Tsh 20,000/-

ADVERTISE HERE