Muda mchache ujao Yanga itakuwa dimbani Borg El Arab huko Alexandria Misri kuikabili Al Ahly katika mchezo wa raundi ya tatu ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL).
Mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves ameanza na kikosi hiki;

ADVERTISE HERE