Saa 10 jioni Yanga itashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Mashujaa Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC.
Mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves ameanza na kikosi hiki;
- Aboutwalib Mshery
- Kibwana Shomari
- Chadrack Boka
- Dickson Job
- Bakari Mwamnyeto
- Mohamed Damaro
- Maxi Nzengeli
- Duke Abuya
- Prince Dube
- Allan Okello
- Pacome Zouzoua

ADVERTISE HERE