Leo Jumatatu Januari 19 2026 Yanga itashuka dimba la KMC Complex kuikabili Mashujaa Fc katika mchezo wa kwanza ligi kuu ya NBC kwa mwaka 2026.
Hivi hapa ni viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni.
Mzunguuko ni Tsh 10,000/- wakati upande wa VIP ni Tsh 20,000/-

ADVERTISE HERE