Yanga ilivyokwea 'pipa' kwenda Nairobi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jun 2018
Yanga ilivyokwea 'pipa' kwenda Nairobi
Kikosi cha Yanga kimeondoka Alhamisi jioni badala ya asubuhi kuelekea Nairobi kushiriki mashindano ya SportPesa Super Cup.

Awali ratiba ilionyesha Yanga ingeondoka asubuhi lakini ni Simba na JKU zilizoondoka muda huo.

Safari za timu zote zimesimamiwa na kampuni ya SportPesa, waandaaji wa michuano hiyo.



Mabingwa hao mara 27 wa ligi kuu watafungua michuano hiyo kwa kucheza na Kakamega HomeBoyz, Juni 03 saa saba mchana.



ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’