Baada ya kuvumishwa kuwa amezima simu na hajulikani alipo, beki kisiki wa Yanga Kelvin Yondani leo ameonekana akiwa na Mwenyekiti wa Kati ya usajili ya klabu ya Yanga, Hussein Nyika Makao Makuu ya klabu hiyo Jangwani.
Nyika amemalizana na beki huyo tegemeo wa kikosi cha Yanga na sasa hakuna shaka ataendelea kubaki Jangwani.

Uongozi wa Yanga umesisitiza kuwa hautaruhusu wachezaji wake walio kwenye mipango ya kocha Mwinyi Zahera waondoke.

ADVERTISE HERE