FT : Yanga 1-0 Singida BS, fainali hiyooo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2026
FT : Yanga 1-0 Singida BS, fainali hiyooo

Yanga imetinga fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Singida Black Stars bao 1-0 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.

Bao pekee la Yanga katika mchezo huo lilifungwa na Maxi Nzengeli kwenye dakika ya 54 akimalzia pasi mpenyezo kutoka kwa Pacome Zouzoua.

Ilikuwa mechi yenye upinzani mkali Yanga wakitawala huku Singida BS wakitumia mashambulizi ya kujibu.

Yanga sasa itachuana na Azam Fc katika mchezo wa fainali utakaopigwa Januari 13 Gombani Pemba.

Kocha Pedro Goncalves ana nafasi ya kuandikisha taji lake la kwanza akiwa na Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’