Depu kushuhudia Yanga vs Singida BS Zanzibar leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2026
Depu kushuhudia Yanga vs Singida BS Zanzibar leo

Mshambuliaji wa kimataifa wa Angola, Laurindo Aurelio 'Depú' ambaye anasubiri kutambulishwa rasmi na Yanga, tayari ametua nchini.

Depu anayejiunga na Yanga akitokea klabu ya Radomiak Radom ya Poland, anatarajiwa kutua visiwani Zanzibar leo.

Nyota huyo anatarajiwa kushuhudia mchezo wa nusu fainali kombe la Mapinduzi kati ya Yanga dhidi ya Singida BS ambao utapigwa saa 2 usiku katika uwanja wa New Amaan Complex.

Kama Yanga itatinga fainali, huenda Depu akapata nafasi kuonekana kwa mara ya kwanza akiitumikia Yanga katika mchezo wa fainali dhidi ya Azam Fc.

Depu pia atajumuishwa kwenye kikosi cha Yanga kinachoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’