Depu aondolewa katika kikosi cha Radomiak

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jan 2026
Depu aondolewa katika kikosi cha Radomiak

Baada ya mazungumzo ya siku kadhaa hatimaye Yanga inakaribia kukamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Angola Laurindo Dilson Aurelio 'Depu' kutoka klabu ya Radomiak Radom ya Poland.

Yanga na Depu tayari walishafikia makubaliano binafsi kilichochelewesha kukamilika kwa uhamisho huo ni majadiliano baina ya timu hasa upande wa dau la usajili.

Hata hivyo ni kama mwafaka umefikiwa baada ya Radomiak Radom kumuondoa kikosini Depu akikosekana kwenye orodha ya wachezaji waliorejea mazoezini jana.

Inaelezwa kuwa Yanga ilituma ofa yake ya mwisho juzi inayokadiriwa kufikia pauni 250,000 ambazo ni zaidi ya Tsh 720M.

Kocha Mkuu wa Yanga Pedro Goncalves amemuhitaji Depu katika kikosi chake akiutaka uongozi wa Yanga uhakikishe mshambuliaji huyo anapatikana kwenye dirisha hili.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’