Stars yafuzu 16 bora Afcon 2025

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Dec 2025
Stars yafuzu 16 bora Afcon 2025

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeandika rekodi mpya kwenye michuano ya Afcon 2025 nchini Morocco baada ya kufuzu hatua ya 16 bora.

Bao la Feisal Salum 'Fei Toto' lilitosha kuihakikishia Tanzania kufuzu hatua ya mtoano baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Tunisia.

Tanzania imefuzu kupitia 'best looser' ikimaliza nafasi ya tatu kundi C baada ya kukusanya alama mbili.

Imeungana na timu nyingine nne zilizofuzu kupitia best looser.

Tanzania sasa itachuana na wenyeji Morocco kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora utakaopigwa Jumapili, Januari 04 

HONGERA STARS...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’