Klabu ya TRA United imemuaga rasmi aliyekuwa mshambuliaji wao Emmanuel Mwanengo ambaye pia alikuwa nahodha wa timu hiyo.
Ni suala la muda tu, Yanga itamtambulisha Mwanengo akiwa usajili wa kwanza kwenye dirisha dogo.
Nyota huyo anamudu vyema eneo la mshambuliaji wa kati na wakati mwingine anaweza kutumika kama namba 10.

ADVERTISE HERE