Yanga Princess yashuka nafasi ya tatu baada ya kupoteza dhidi ya Simba Queens

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2025
Yanga Princess yashuka nafasi ya tatu baada ya kupoteza dhidi ya Simba Queens

Baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Simba Queens hapo jana katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake (WPL), Yanga Princess imeshuka hadi nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi.

Princess inayonolewa na kocha Edna Lema akisaidiwa na Said Maulid 'SMG' imecheza mechi tano, imeshinda nne na kupoteza mechi ya kwanza hapo jana.

Lema pengine anahitaji kukiboresha kikosi chake hasa katika safu ya ushambuliaji ili kwendana na ushindani dhidi ya wapinzani wake wakuu Simba Queens na JKT Queens.

Dirisha dogo la usajili litafunguliwa siku ya Alhamisi, Yanga Princess ikiwa tayari imekamilisha usajili wa winga Aisha Djaffar. Maboresho zaidi yanatarajiwa katika dirisha hilo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’