Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo wa Yanga Abdulnasir Mohammed Abdallah 'Casemiro'.
Akiwa ametua Yanga katika dirisha lililopita la usajili, bado mashabiki wa Yanga wanasubiri kumshuhudia kinda huyo kikosini.
Casemiro ni kiungo mwenye kipaji kikubwa ambapo wengi wamemtabiri kufanya makubwa katika kikosi cha Yanga.
Kocha Pedro Goncalves na benchi lake la ufundi wameendelea kumuandaa kabla ya kumpa majukumu kamili.
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa.
HAPPY BIRTHDAY CASEMIRO...!Β
ADVERTISE HERE