Kiungo fundi Tabani Kamusoko amechelewa kujiunga na wenzake waliokambini mkoani Morogoro.
Hata hivyo Kamusoko tayari yuko jijini Dar es salaam na kesho Jumanne anatarajiwa kuungana na wenzake mkoani Morogoro.
Mlinzi wa kulia, Hassan Kessy naye ameanza mazoezi leo baada ya kumaliza mapumziko ya siku kadhaa kutokana na majukumu ya timu ya Taifa.
Kessy alipata majeraha wakati yuko kwenye maandalizi na timu ya Taifa.
Daktari ya timu Dk Bavu amesema kikosi cha Yanga hakina majeruhi na kila kitu kiko sawa.
Mchezaji pekee ambaye bado hajaanza mazoezi ni Beno Kakolanya, ambaye bado ni majeruhi.

ADVERTISE HERE