Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Miguel Gamondi ametangaza kikosi cha awali cha timu ya Taifa kwa ajili ya michuano ya Afcon 2025 itakaypofanyika baadae mwezi huu huko Morocco.
Nyota wa Yanga Israel Mwenda, Mohamed Hussein, Ibrahim Bacca, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Mudathir Yahya na Offen Chikola wamejumuishwa katika kikosi hicho kilichojumisha takribani wachezaji 53.

ADVERTISE HERE