Jeshiii yuko tayari kurejea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Nov 2025
Jeshiii yuko tayari kurejea

ilikuwa miezi sita migumu na iliyohitaji uvumilivu kwa mlinzi wa kulia wa Yanga Yao Kouassi maarufu 'Jeshiii', ambaye alifanyiwa upasuaji wa goti mwezi Mei mwaka huu. Hatimaye sasa yuko tayari kurejea kikosini.

Yao amepona majeraha na kurejea mazoezini kikamilifu akihesabu siku kabla ya kujumuishwa kikosini pale dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Disemba 15.

Safu ya ulinzi upande wa kulia inakwenda kuimarika zaidi akitarajiwa kumpa changamoto Israel Mwenda ambaye alisajiliwa na Yanga baada ya kuumia kwake.

Yanga haina tena hofu eneo la walinzi wa pembeni kwani upande wa kulia kutakuwa na Yao, Mwenda na Kibwana Shomari huku upande wa kushoto Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' na Chadrack Boka wakihudumu.

Aidha; Yao, Mwenda na Kibwana wote wanaweza pia kutumika kama walinzi wa kushoto..!

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
35m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’