Siku mbili za maandalizi ya dozi ya AS FAR Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Nov 2025
Siku mbili za maandalizi ya dozi ya AS FAR Zanzibar

Kikosi cha Yanga jana kiliingia siku ya pili ya maandalizi yake visiwani Zanzibar kuelekea mchezo wa kwanza wa kundi B ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya AS FAR ambao utapigwa Jumamosi, Novemba 22 katika uwanja wa New Amaan Complex.

Kocha Mkuu wa Yanga Pedro Goncalves ameendelea kukiandaa kikosi chake tayari kuwania alama tatu katika mchezo huo muhimu nyumbani.

Msimu huu Yanga imepania kukusanya alama zote 9 katika mechi za nyumbani ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga robo fainali.

Wapinzani wao AS FAR walitua jana usiku ambapo kesho watafanya mazoezi yao katika uwanja wa New Amaan Complex saa 10 jioni.

Vijana wa Goncalves wako tayari kwa mchezo huo;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’