Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea visiwani Zanzibar tayari kwa mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi CAFCL dhidi ya AS FAR utakaopigwa Jumamosi, Novemba 22 uwanja wa New Amaan Complex.

ADVERTISE HERE