Maxi gari limewaka mapema tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Nov 2025
Maxi gari limewaka mapema tu

Kiungo kiraka wa Yanga Maxi Nzengeli ameuanza vyema msimu wa ligi kuu akiungana na Pacome Zouzoua kuwa wachezaji waliohusika kwenye magoli mengi yaliyofungwa na Yanga katika mechi nne za ligi.

Maxi na Andy Boyeli ndio vinara wa kupachika mabao katika kikosi cha Yanga kila mmoja akiwa amefunga mabao mawili.

Mcongomani huyo pia ana asisti moja inayomfanya awe mahusika katika mabao matatu kama ilivyo kwa Pacome aliyefunga bao moja na kutoa asisti 2.

Nyota wengine waliofunga mabao kwenye ligi ni Lassine Kouma, Mudathir Yahya, Mohammed Hussein na Celestin Ecua huku Ecua, Israel Mwenda, Hussein, Duke Abuya na Edmund John pia wakitoa asisti.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’