Maana halisi ya umoja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Nov 2025
Maana halisi ya umoja

Tukio la Pacome Zouzoua kumuachia mshambuliaji Andy Boyeli kupiga mkwaju wa penati katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC juzi limeendelea kupongezwa na wadau wa soka nchini.

Baada ya Stephane Aziz Ki kuondoka, majukumu ya kupiga mikwaju ya penati Yanga yalikabidhiwa kwa Pacome lakini juzi akaamua kumuachia Boyeli.

Boyeli alikuwa akitafuta bao lake la kwanza msimu huu, na aliitendea haki kwa kuweka mpira kambani.

Pacome ambaye alifunga na kutoa pasi ya bao katika mchezo huo, alikuwa na nafasi ya kufunga bao lake la pili lakini akaona ni busara kumjengea 'confidence' Boyeli ambaye dakika chache baadae akaongeza bao la pili.

Washambuliaji wa Yanga hawajauanza vyema msimu lakini baada ya Boyeli kufunga mabao mawili juzi huenda ukawa mwanzo wa kushuhudia mabao zaidi.

width="100%" />

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’