Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize amefanyiwa upasuaji wa goti akitarajiwa kuwa nje ya dimba kwa wiki nane hadi 10.
Mzize huenda akarejea katika majukumu yake mwanzoni mwa mwezi Februari 2026.
Pole Mzize, utarejea ukiwa mara zaidi...!


ADVERTISE HERE